“Wengi wanakupenda kama Mo Music na sio mimi kama mimi. Wanawake wengi sasa hivi wanaangalia watu wenye kitu,lakini ingawa sio wote ila asilimia kubwa,” amesema Mo Music.
Mo Music aliyeanza kufanya vizuri kupitia ngoma yake ya Basi Nenda, kwa sasa ana wimbo uitwao Ado Ado alioutoa mwaka jana.
0 maoni: