Super business woman, Jokate Mwegelo amemuandikia  AliKiba ujumbe mzuri ambao amedai umetoka kwenye sakafu ya moyo wake.Mwanamitindo huyo ambaye yupo karibu zaidi na mkali huyo wa wimbo 
‘Aje’ amemsifia msanii huyo huku akiichambua show yake aliyoifanya usiku
 wa kuamkia Jumapili katika tamasha la Fiesta Dar es salaam.
Kupitia Instagram, Jokate ameandika:
 Komando Kipensi @officialalikiba kwanza thank you for trusting me and 
@noelgiotz to style you for Fiesta- tulielewa how important this day is 
to you and I’m glad we made it .
 It was fun creating this iconic look, you made it easy though I mean 
your body is just perfect and the way you carry yourself with so much 
class and honor you just gave this outfit the life and sophistication it
 needed. Style yako ya mavazi ni ya kipekee, hugezi mtu unatengeneza 
yako kama unavyofanya na mziki wako, ni halisi. Sasa mimi napenda 
kuongea nikiguswa, sio kama AK ila baada ya kuona ulichofanya jana 
kwenye stage ya fiesta ( umeimba live na band kwenye umati mkubwa vile 
kwa ustadi mkubwa kabisa mpaka watu wakashtuka maana you were simply 
perfect ) naomba kusema tu wewe hushindani na yoyote hapa Tanzania, 
kuanzia ladha yako ya mziki unaotengeneza mpaka sauti yako – tena huko 
kwenye sauti naomba nisiongee maana sitaki upasuke bichwa lako lol ila 
kuna kitu cha kipekee kwenye sauti yako, you are “The Voice”. Kila siku 
unakuwa bora zaidi yaani labda nikufananishe na Beyonce kimziki- usiniue
 lakini .
 Ukitaka you can dance, you can sing tena live sauti cleeeear haina 
mikwaruzo, you can rap, unaeeza igiza uchizi yaani you are just perfect 
kama mwanamuziki. Kama hujui leo ujue. Nakuombea siku mmoja dunia nzima 
iweze kufurahia hiki kipaji adhimu kutoka kwako. Unajua kuna tofauti ya 
kuimba wimbo au kusikiliza wimbo tu kama burudani na kusikiliza kitu 
kinachokuinua spiritually. Kitu kinagusa roho yako. Nikisikia Aje, 
Mwana, My Everything, Mali yangu hata kama nina mood mbaya vipi my soul 
becomes happy yaani naturally. You are a gem na utafika tu. Huu mwendo 
wako huu huu ndio poa. Wasikuchanganye. Nikiangalia mfano wa Wizkid yeye
 anafanya mziki wake, focus yake niyeye na fans wake na ndio maana yuko 
alipo licha ya kushindanishwa na watu kutwa nzima. Blood fans wa AK 
najua mko nae tumlazimishe huyu kijana afanye tour nchi nzima pekee yake
 labda .
 Haya mambo ni makubwa wallahy. All in all I’m very proud of you na your
 journey of growth and WTH man start giving me credit on the lyrics I 
help you with . Hongera @cloudsfmtz kwa show nzuri na kwa wasanii wote #Kajiandae #KingKiba #Kidoti