Fresh kutoka kuchukua tuzo tatu za EATV Awards, Jumamosi hii, Alikiba
alikwea pipa hadi jijini Johannesburg, Afrika Kusini kwenda kutumbuiza
kwenye, Mkhaya Migrants Awards. Zimetolewa Jumapili hii.
Tuzo hizo huandaliwa na wizara ya mambo ya ndani ya Afrika Kusini
kuwatuza wahamiaji wanaofanya vizuri kwenye nyanja mbalimbali nchini
humo.
0 maoni: