Jumanne hii ilikuwa ni birthday ya mkali wa wimbo Aje, Alikiba ambapo
aliungana na uongozi wake kwenda mbuga ya wanyama ya Serengeti National
Park kwa ajili ya kusherekea siku hiyo muhimu katika maisha yake.
Hata hivyo mkali huyo amechafua hali ya hewa mitandaoni baada ya kuposti
picha yake wakati akisherehekea siku yake ya kuzaliwa na kuandika
maneno kuwa anawaangalia Simba Original ambapo ujumbe huo umetafsiriwa
kama kijembe kwa staa mwenzake Diamond Platnumz ambaye naye ujiita
Simba.
Haya ni baadhi ya maoni ya mashabiki hao katika mitandao ya kijamii.
pius_____himself
Kumbe we @officialalikiba ni pimbi tu, achana na hizo mambo za kiki braza piga kazi.. Unataka tu watu waseme
ts_zizahTeam
kitunguu buana ss mtu kaona simba original hamtaki aseme mnataka aandike
tumbili au nungunungu huku hatutafutagi kiki bwana kik tunayo toka 2010
tulivyoimba na R kelly so kajambeni mbele huko #simbaoriginal
h_wa_wcb
Mbona unapiga vijembe baada ya kupiga kazi au kwakua umekaribishwa kwenye busta na wewe upate kiki jenga nyumba usijenge majungu@officialalikiba
ms_ticky
Hahahahha @officialalikiba watu wanatokwa mapovu hatari… Mie namuona simba OG sasa Povu la nn… Wamepanick balaaa
tony_k_tz
@mcute_mcute njoo umuone cmba original simba anaish polin cio mjin
jennifernatubhai
@zero2hero3 ahahaaaa yaan mtaishia kuongea tu lkn maisha ya kiba
hamtayajua ng’ooo kwasbb sio mpenda sifa mbona siku iliyoonyeshwa nyumba
yake povu liliwatoka? Eti anawatt wengi wengine alizaa na ww?
Naisitoshe kwani alishakuomba kibaba ili watt wake wale? Kajiandaee
0 maoni: