Wednesday

Princess Tiffah afikisha followers milioni 1 Instagram

Hakuna ubishi kuwa Princess Tiffah ndiye mtoto maarufu zaidi Afrika kwa sasa. Umaarufu wake unazidi kuongozeka kiasi ambacho wiki hii amefikisha followers milioni 1 kwenye mtandao wa Instagram.
 14592076_1249625691767348_5538953587729629184_n

Umaarufu huo hajahangaika hata kuutafuta kwakuwa ni mtoto wa couple maarufu zaidi pia Afrika – Diamond na Zari.
Akaunti yake husimamiwa na mama yake ambaye katika kusherehekea hatua hiyo ameamuandikia: Who wouldn’t be excited with a new Bentley whip  THANK YOU MY 1 MILLION FOLLOWERS.
Zari na Diamond wanatarajia kupata mtoto wa pili mwezi ujao.

SHARE THIS

0 maoni: