...
Sunday
New Audio: Ycee – Hennessy
DOWNLOAD AUDIO
...

Mbwana Samatta aipatia Taifa Stars ushindi wa mabao 2-0
Mbwana Samatta amefanya kile ambacho watanzania wengi walikuwa
wanatarajia akifanye, magoli mawili aliyofunga yameipa Stars ushindi wa
2-0 dhidi ya Botswana kwenye mechi ya kirafiki ya kimataifa ya...
New Audio: Skales ft Tekno – Give Me Love
DOWNLOAD AUDIO
...
New Audio: Pallaso – Nkwagala
DOWNLOAD AUDIO
...

Nay wa Mitego kukamatwa na polisi ni kutokana na wimbo wake Wapo
Nay wa Mitego amedai amekamatwa na polisi wilayani Mvomero, Morogoro alikokuwa ameenda kwaajili ya show.
Hajasema sababu ya kukamatwa kwake lakini watu wanahisi ni kutokana
na wimbo wake Wapo ambao...

Mbwana Samatta anamiliki mijengo sita Dar
Achana na uwezo wa Mbwana Samatta akiwa uwanjani. Mchezaji huyo siyo
wa mchezo pia kiuchumi– ana mijengo takribani sita jijini Dar es Salaam.
Kwa mujibu wa gazeti la Mwanaspoti, mshambuliaji huyo...
Monday

Taarifa rasmi kutoka Clouds Media kuhusu video inayosambaa
Kufuatia kusambaa kwa video mitandaoni ikiaminika ni mkuu wa mkoa wa Dar es salaam, Paul Makonda...

Ifaham Gharama ya kuilinda familia ya Trump kwa siku
Familia ya Rais wa Marekani, Donald Trump ina ulinzi mkali. Ulinzi huo unadaiwa kugharimu kiasi kikubwa cha fedha.
Wakati ambapo Trump alihamia kwenye ikulu ya White House iliyopo
jijini Washington...

Diamond afungua mwaka na deal hii kubwa ya ubalozi
Msanii wa muziki Nassib Abdul maarufu, Diamond Platnumz ameteuliwa
rasmi na kampuni ya GSM kuwa balozi wa kutangaza bidhaa mbalimbali za
taasisi hiyo.
Akizungumza Jijini Dar es Salaam Afisa Masoko...
Friday

Rais Magufuli mbioni kuhamia Dodoma
Rais wa Jamhuri wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli ametembelea
uwanja wa Chamwino mkoani Dodoma na kuwahakikishia wananchi kuwa
atahamia Dodoma hivi karibuni kama alivyoahidi.
Rais wa Jamhuri ya...