V'ee Jay Ni Miongoni Mwa Watanzania Waliopo Nje Ya Nchi Na Anafanya Harakati Za Muziki Nchini Marekani, NiMuda Mrefu Sasa Umepita Toka Waingie Katika Tofauti Na Producer Wake Wa Muda Mrefu Self Kuwa Ambaye Pia Ni C.E.O Wa Lab Ya Ukweli Records,Akizungumza Na MULEBA KWANZA MEDIA
Self Kuwa Amesema Kuna Project Nyingi Na Kubwa Ambazo Wana Ziachia Hivi Karibuni Baada Ya Kumaliza Tofauti Zao Na Msanii Wake Vee Jay Ikiwemo Na Collaboration Yake Na Msanii Madee Kutoka Tanzania,
Self Kuwa Amesema Pia Team Nzima Ya Lab Ya Ukweli Na Too CoolMusic Watatambulishwa Katika Tamasha Kubwa La SYRACUSE UNITED & CELEBRATION OF REFUGEE SUCCESS Litakalofanyika SYRACUSE NEW YORK Hivi Karibuni Nchini Marekani.
0 maoni: