Mbwana Samatta amefanya kile ambacho watanzania wengi walikuwa
wanatarajia akifanye, magoli mawili aliyofunga yameipa Stars ushindi wa
2-0 dhidi ya Botswana kwenye mechi ya kirafiki ya kimataifa ya...
Achana na uwezo wa Mbwana Samatta akiwa uwanjani. Mchezaji huyo siyo
wa mchezo pia kiuchumi– ana mijengo takribani sita jijini Dar es Salaam.
Kwa mujibu wa gazeti la Mwanaspoti, mshambuliaji huyo...
Chama cha soka duniani FIFA kinakataza Serikali kuingilia masuala ya
soka na adhabu kali hutolewa kwa mwanachama yeyote anayekiuka jambo
hilo. Bunge la Uingereza linataka kupiga kura ya kutokuwa na...
Timu ya Tanzania ya vijana wenye umri wa chini ya miaka 23
‘Kilimanjaro Warriors’ inatarajiwa kuingia kambini Janauri 29, 2017 kwa
ajili ya maandalizi ya awali ya kucheza mechi za kufuzu fainali za...
Raisi mpya wa FIFA Gianni Infantino anaonekana kutaka kubadili soka
kabisa.Infantino anaonekana kuondoa kila kitu cha Sepp Blatter na kuleta
vyake.Baada ya kuongeza timu zitakazoshiriki kombe la dunia...