Zari na Wema Sepetu mambo mbona fresh tu. Malkia huyo wa filamu nchini amealikwa kwenye sherehe ya 40 ya Prince Nillan.
Wakizungumza kwenye kipindi cha Leo Tena cha Clouds FM Alhamis hii,
Diamond amethibitisha kuwa Wema ni mmoja kati ya wageni walioalikwa
katika shughuli hiyo.
“Ni mmoja kati ya watu ambao wamealikwa. Na tunaomba wamalize matatizo yao salama,” amesema Diamond.
Sherehe hiyo inatarajiwa kufanyika Jumamosi ya Februari 11 mwaka huu huko kwenye ikulu ya Diamond na Zari iliyopo Madale.
SHARE THIS
0 maoni: