Tuesday

Sasa utaweza kurusha video live Instagram, lakini..

Mtandao wa Instagram umeanzisha feature ambayo itakuwezesha kurusha video live. Hata hivyo ni watumiaji wa Marekani pekee ndio wenye uwezo wa kuitumia kwa sasa.
 
Watumiaji sasa wataweza kurusha live video ya zaidi ya saa nzima. Hata hivyo tofauti na Facebook Live, video hizi hazibaki kwenye app ili uweze kuangalia baadaye.
Ingawa Instagram ilitoa tangazo hilo kuhusu video za live tangu November mwaka huu, app hiyo ilikuwa ikifanyia majaribio kwa siri nchini Urusi.

SHARE THIS

0 maoni: