Tuesday

Ni furaha baada ya Young Dee kumuona mwanae kwa mara ya kwanza

Furaha ya mtoto si ya mama mzaa chema pekee, ni ya baba pia. Ilikuwa ni furaha tu baada ya rapper Young Dee kumuona kwa mara ya kwanza mwanae wa kike, Tamar.

Awali rapper huyo alidaiwa kumkataa mtoto huyo kabla ya kuomba radhi kwenye Instagram na kutangaza kuwa ameurudisha moyo wake.
Jana Young Dee alikutana na mama wa mtoto huyo ambaye kwake Young kukubali majukumu yake kama baba wa mtoto huyo ilikuwa ni furaha kubwa.
 

SHARE THIS

0 maoni: