Baada ya hapo jana Ommy Dimpoz kufunguka kiundani kwenye kipindi cha XXL
cha Clouds FM kwa kuelezea kilichopelekea akosane na rafiki yake wa
zamani, Diamond Platnumz – Wema Sepetu amempongeza kwa kile
alichokifanya.
Kupitia mtandao wa Instagram, Wema ameandika.
Busara, Upole, Hekma… Thats wat u r made of… Im very very Proud and Impressed kwakweli… Mnyonge mnyongeni haki yaki mpeni… Sasa sio mje muanze kusema sijui napick sides… Nooooo…!!! Sina side maana na mimi pia ni outsider tu… But kwa leo nimependa ulichofanya Ommy…. Forever Bae… Sometimes being the bigger person doesnt hurt… @ommydimpoz
0 maoni: