Msanii mahiri anaeipeperusha vyema
bendera ya Tanzania kutokana na uhodari wake wa kufanya kazi zinazo
wavutia wadau wengi wa masuala ya burudani Nasib Abdul maarufu kama
Diamond Plutnumz amefunguka kuhusu suala la video ya nyimbo ya pamoja
kati yake na A.K.A ya Make Me Sing kufananishwa na video ya nyimbo ya
Lil Wayne iitwayo Got Money
Akizungumzia suala hilo katika kipindi
cha XXL kinachorushwa na Clouds FM Diamond ameeleza kuwa watu
wanashindwa kuelewa,kila kitu ambacho kinafanyika sasa hivi kwenye
muziki kuanzia video,mashairi vyote vilishafanyika,
Vyote vilishaimbwa,ni kama vinafanyika
kwa marudio lakini kila mtu anarudia kwa namna yake anayoijua yeye,kwa
sababu ukisema nakupenda watu washaimba,sikupendi washaimba vyote yaani,
alisema Diamond
0 maoni: