Jumapili iliyomalizika, Diamond alikuwa live kwa muda mrefu kwenye mtandao huo akiwa nyumbani kwake, Pretoria, Afrika Kusini pamoja na familia yake. Kwenye video hiyo ya moja kwa moja, kwa wakati fulani Diamond alipewa kampani na mama wa watoto wake, Zari pamoja na mtoto wao wa kwanza, Tiffah.
Hata hivyo mambo yalibadilika baada ya staa huyo kuanza kutokwa na matusi ya nguoni aliyoyaelekeza kwa mtu aliyamuambia kuwa anamchukia.
“You don’t need to hate me because I don’t hate you, by the way I don’t f*cking know you, the person that hates me, I don’t know him,” anasikika Diamond kwenye video hiyo.
“I only know people who love me because I always concentrate with people who love me, who support me, if you hate me f*ck you, I don’t know you,” lilimchomoka tusi.
Aliendelea, “You don’t even stress me out because I know you must be broke, If you are not broke, there is no way you can hate me, if you hate me you’re motherf*cking broke, and if you’re broke you can’t stress me out because I got money more than you, I got cars more than you, I got houses more than you, I got money motherf*cker in the bank more than you. You and your family know that, so if you hate me go to hell.”
Alibadilisha lugha, “Nyie mnaonichukia endeleeni kunichukia sababu kila siku nafanya maajabu, mwaka huu ndio nafanya maajabu mengi.”
Kama kawaida, video hiyo imepokelewa kwa hisia tofauti huku wengi wakichukizwa na matusi aliyoyatoa.
0 maoni: