Wednesday

Kidogo ya Diamond kuwania tuzo ya AAMMA 2016 nchini Australia

Muziki wa Bongo Fleva unazidi kutoboa kwenye bara la Ulaya. Wimbo wa ‘Kidogo’ wa Diamond aliowashirikisha P Square umefanikiwa kutajwa kuwania tuzo za ‘AAMMA 2016’ za nchini Australia

Diamond anawania tuzo hiyo kwenye kipengele cha ‘Song Of The Year 2016’ huku akiwania tuzo hiyo na msanii mwengine kutoka Afrika Mashariki, Bebe Cool na wasanii wengine kama Jidenna, Tekno, Tinnie Tempah, Davido, Drake na wengine.
Tuzo hizo hutolewa kwa wasanii wa Afrika au kwa nyimbo za wasanii wengine waliowashirikisha wasanii kutoka Afrika. Hawa ni wasanii na nyimbo zao zinazowania tuzo hiyo.
Ahmed Soultan – ANA O RASSI
Alicia Keys (Black Coffee) – IN COMMON (Black Coffee Remix)
B Wise (Dopmamine) – NO QUESTIONS
Bebe Cool – DEDE
Boddhi Satva + Teedra Moses (Boddhi Satva) – SKIN DIVER
Burna Boy (LeriQ) – PRE ME
Charlie Bucket + Blitz the Ambassador + Raashan Ahmad (Charlie Bucket) – ONE LIFE
Chip + Burna Boy (Jfem) – REACHING
Davido + Tinashe (Spellz) – HOW LONG
Diamond Platnumz + P-Square – KIDOGO
DJ Maphorisa + DJ Buckz + Wizkid (DJ Maphorisa // DJ Buckz) – SOWETO BABY
Drake + Wizkid + Kyla (Nineteen85 + DJ Maphorisa) – ONE DANCE
Eugy + Mr Eazi (Team Salut) – DANCE FOR ME
Fuse ODG + Badshah + Zack Knight (Killbeatz) – BOMBAE
Fuse ODG + Shatta Wale (Killbeatz) – LAUGH OUT LOUD
Jay Rox + Thugga (Zone Fam) – GLORY
Jidenna (Jidenna) – LITTLE BIT MORE
Joey B (Kuvie) – U X ME
Legendury Beatz + Ceeza (Legendury Beatz) – LOVE AT FIRST SIGHT
Lola Rae (P2J) – ONE TIME
Major Lazer + Nyla + Fuse ODG (Major Lazer) – LIGHT IT UP
Maleek Berry (Maleek Berry) – KONTROL
Mi Casa + Yemi Alade (Maleek Berry) – GET THROUGH THIS
Moelogo + Sarkodie + Davido (P2J) – PENKELE REMIX
Muthoni the Drummer Queen + Kagwe Mungai (Kagwe Mungai) – HOT THIS YEAR
Okenyo (Badcop)- 10 FEET TALL
Patoranking + Sarkodie (Gospelondebeatz) – NO KISSING BABY
Remi + Sampa the Great (Sensible J) – FOR GOOD
Roberto + Reekado Banks + General Ozzy – DREAMS
Silvastone + Gory (Silvastone) – REAL MAN
Tekno (Krizbeatz) – PANA
Timaya (Kitwana Israel) – BANG BANG
Tinie Tempah + Wizkid (Bless Beats) – MAMACITA
Tiwa Savage + Busy Signal (Spellz) – KEY TO THE CITY REMIX
Tiwa Savage + Olamide (Don Jazzy) – STANDING OVATION
Tiwa Savage + Wizkid (P2J) – B.A.D.
Walshy Fire + Runtown + Wizkid + Machel Montano (Del B & Kickraux) – BEND DOWN PAUSE REMIX
Wizkid (Legendury Beatz) – FINAL (Baba Nla)
Bonyeza hapa kupiga kura

SHARE THIS

0 maoni: