Rais Magufuli amendika maombi hayo kupitia ukurasa wake wa Twitter
ambapo pamoja na kuwaomba Watanzania kutekeleza mambo hayo amewatakiwa
Watanzania heri ya mwaka mpya.
“Ombi langu kwa Watanzania wote tuulinde,tuutunze na kuudumisha umoja
wetu ktk mwaka 2017 kwa kufanya kazi kwa bidii. MUNGU IBARIKI
TANZANIA,” aliandika Rais Magufuli.
0 maoni: