Diamond Platnumz kutoka Tanzania ameibuka na tuzo tatu kwenye kipengele cha Best Male East Africa, Best Artiste/Duo/Group In African Pop na Song of The Year, huku mastaa wengine kama Falz akiondoka na tuzo ya Revelation of the Year na Wizkid akiondoka na tuzo ya Artist of the Year.
Wakati wa perfomance yake stejini, Diamond Platnumz aliimba wimbo wa Chacun Pour Soi alioshirikiana na Legend marehemu Papa Wemba.
0 maoni: