Tuesday

CALISAH KUMCHUKULIA HATUA ALIYEVUJISHA VIDEO AKIWA NA WEMA


Model Calisah ametangaza vita kwa aliyevujisha na kusambaza mtandaoni video inayomuonyesha akimla denda malkia wa filamu Wema Sepetu.
Mapema wiki hii model huyo aliiambia Bongo5 kuwa video hiyo iliyosambaa mitandaoni ilisababisha kifo cha bibi yake ambaye alipokea taarifa hizo kwa mshtuko.
Hata hivyo Calisah alisema hajui ni nani ambaye amevujisha video hiyo huku akidai alikuwa nayo yeye pamoja na Wema Sepetu.
Jumanne hii kupitia instagram, Calisah ameandika:

This thing will pass, Ila ww uliesababisha machoz kwny macho yang tangu Jana na Leo nisije nikakujua, utajua nina roho mbaya kiasi gani, Najua ntakujua2 within this two days, utajua kwnn nilisuswa na babaangu mzazi kwa miaka 5, no1 knws my story.

SHARE THIS

0 maoni: