Saturday

HARMONIZE KUZAWADIWA GARI NA CREW YA WCB KAYASEMA HAYA


Msaii Harmonize ambaye yupo chini ya lebo ya WCB kayanena haya katika Ukurasa Wake wa Facebook akiwa na furaha kubwa


"Nichukue Fursa Fupi Kuushukuru Uongozi Wangu Mzima Wa @wcb_wasafi @mkubwafella @babutale @sallam_sk @ricardomomo @diamondplatnumz Kwakunijali Na Kunithamini Kijana Wao Wakanizawadia Gari Daaaaah Furaha Niliyo Nayo Haielezeki..... ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚ Kwakweli Ninafuraha Na Ninashukuru Sanaa Ninamengi Yakuongea Lakini Sizani Kama Nikianza Kuandika Nitamaliza Kubwa Ni Kwamba Namshukuru M/mungu Nashukuru Kwa Kurudia Tena Uongozi Wangu @wcb_wasafi Kwa Zawadi Lakini Nitakuwa Mchoyo Wa Fadhila Nisipo Washukuru Wazazi Wangu Walio Nizaa Na Kunilea Hadi Nikafikia Hapa Na Shukrani Za Dhati Ziwafikie Mashabiki Zangu Ambao Wapo Bega Kwa Bega Kunisupport Katika Kazi zangu Pia Mama Naseeb Umekuwa Ukinisistiza Na Kunisihi Jinsi Ya Kuishi Na Watu @kendrah_michael Nimalize Kwakusema Ninashukuru Sanaa Na Nina Amini Kuna Mengi Mazuri Zaidi Yapo Mbele Ila Asieshukuru Na Kidogo Kamwe Hatoshukuru Na Kikubwa Thanks ‪#‎Allah‬ Thanks ‪#‎Wcb‬ ‪#‎Thanks‬ ‪#‎Mashabiki‬"

SHARE THIS

0 maoni: