Sunday

Wiz Kid Kufanya kolabo na R Kelly Pamoja na Alicia Keys...


Kupitia interview East Africa Radio na Sammisago Wiz Kid baada ya kutua Tanzania kwaajili ya show yake leaders Club Wiz Kid amethibitisha kuwa amefanya wimbo na R Kelly.
Wiz Kid amesema ” R Kelly alimpigia simu na kumtumia wimbo wake ambao alitaka wapige collabo na wimbo huu utakuwepo kwenye album mpya ya  R Kelly, wimbo utakuwa R Kelly ft Wiz Kid “.
” i just did a record with R Kelly…it is a record for his new album ” maneno ya Wiz Kid.
Wiz Kid pia amethibitisha kuwa amerekodi nyimbo tano na rapa Ty Dolla Sign.

Kwenye maongezi ambayo yalikuwa nje ya studio nimepata uthibitisho kuwa baada ya kufanya show ya ‘Keep A Child Alive ‘ ya Alicia Keys, Wiz Kid ataingia studio na Alicia Keys kufanya naye wimbo ambao utakuwa wa Alicia Keys.Keep stay on

SHARE THIS

0 maoni: