Monday

Chege Kufanya Kolabo na Mafikizolo.........




  leo Novemba 2, 2015  ni kwamba Chege Chigunda ana mpango wa kufanya kazi na Mafikizolo wa South Africa ambao ni mastaa wa hit single ya ‘khona’ waliochukua tuzo mbili za MTV 2014.
Julio Batalia ambaye yuko na Chege Chigunda South Africa alisema….’Kuna collabo inakuja kati ya CHEGE na MAFIKIZOLO, tuombeane kheri  ili tufanye kitu kizuri ambacho kitapendeza na kurepresent Tanzania. Tuendelee kupeana support na tufanye mambo makubwa’Julio alisema

BOFYA  HAPO CHINI UJISHINDIE RANGE ROVER KWA SIKU YA REO..

SHARE THIS

0 maoni: