Wednesday

Ali kiba ajibu kwa nini huwa haendagi kwenye tuzo....


Ali Kiba ambaye ni staa wa bongofleva alipita kwenye studio za Mtangazaji Millard Ayo na kuelezea mipango yake anapokwenda Marekani November 4 2015, kwanini huwa haudhurii matukio ya utolewaji wa tuzo mbalimbali anazowania, single mpya na Christian Bella na mengine.
Kwenye hii video hapa chini Ali Kiba amezungumzia pia single yao mpya na Christian Bella ‘nagharamia‘ ambayo wanaidrop Ijumaa hii

SHARE THIS

0 maoni: