Video ya wimbo wa mshindi wa Tuzo ya MTV EMA Best Worldwide Act Africa/ India, Diamond Platnumz na wasanii nguli wa Afrika kusini Mafikizoro itashootiwa mwezi ujao,Diamond amesema hayo alipokuwa akimjibu shabiki yake kupitia Twitter aliyeuliza kuhusiana na collabo hiyo ambayo imerekodiwa tangu mwaka jana, Diamond alijibu “Video tutashoot mwezi ujao”
Katika hatua nyingine, Diamond amesema kuwa alikua hana mpango wa kufanya Rmx au Video ya wimbo wake uliovuja ‘Ukimwona’ lakini mashabiki wamekua wakimwomba hivyo anaangalia mpango wa kufanya hivyo,Zidi Kutembelea Ukurasa huu kwa habari zaidi.