Hii ni taarifa ya uchaguzi wa wajumbe wa Bunge la Afrika Mashariki
Uchaguzi wa Wajumbe Tisa (9) watakaoiwakilisha Jamuhuri ya Muungano
wa Tanzania katika Bunge la Afrika Mashariki (EALA) unatarajiwa
kufanyika katika Mkutano wa Saba wa Bunge unaotarajiwa kuanza Aprili 4
mwaka huu.
Hii ni taarifa yake:
0 maoni: