Mkuu wa
Mkoa wa Dar es salaam Paul Makonda ameendelea na ziara yake Dar es
salaam, November 20 2016 akiwa Kigamboni alitembelea kiwanda cha Milkcom
kwa ajili ya kujionea shughuli mbalimbali zinazofanywa kiwandani hapo.
Alipofika
kiwandani hapo, pamoja na mambo mengine RC Makonda amezungumzia suala la
kuwapatia visa kwa urahisi kupitia ofisi ya mkuu wa mkoa wa Dar es
salaam wafanyabiashara wa kati wanaotaka kwenda kuchukua bidhaa China,
RC Makonda amesema…..
>>>’Baada
ya ziara yetu hii tunategemea kuwa na mkutano na wafanyabiashara wa
kati wanaoenda China kuchukua bidhaa, tumeshaongea na ubalozi wa China
watakuwa wanapatiwa visa bila usumbufu kupitia ofisi ya mkuu wa mkoa’
Unaweza ukaitazama hii video hapa
0 maoni: