Thursday

Mgalilaya Kuachia Video Zake Mbili Hivi Karibuni...

Akiongea na SYLI CLASSIC BLOG mwanamuziki wa kizazi kipya Sebastian Mluta ali maarufu Kama Mgalilaya amesema yuko mbioni kuziachia video zake mbili kwa wakati tofauti tofauti kabla ya mwaka kuisha,Moja ya video ni ya wimbo uliofanya vizuri sana unaokwenda kwa jina la 'NIMO' pamoja na video nyingine ya wimbo wake mpya amemshirikisha Mesen Selekta unaitwa 'FINAL' Mgalilaya ameahidi kutowaangusha mashabiki wake hivo wakae mkao wa kula ili awape kitu roho inapenda,Usiache kutembelea blog yetu ili usizikose kazi zote za Mgalilaya zitakazokuwa zinaingia katika soko la muziki,Asante

SHARE THIS

0 maoni: